STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ukikubali kupenda kubali kuumia. Mapenzi na maumivu ni watoto mapacha. Wanapendana, wanaenda pamoja kila mahali na hawaachani.
Ni sawa na kufungua akaunti NMB halafu unaogopa foleni. Kama hauko tayari kuumia achana na mapenzi fanya biashara ya karanga, haya Mahaba tuachie sie Wasukuma tuliozoea kuumia na kulia bila hata kuona turubai la Msiba