mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 901 Reaction score 1,742 Jul 21, 2022 #1 Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
Ukikuta bidhaa ya Tanzania nchini Kenya inakuwa imelipiwa ushuru mkubwa sana ama wakati mwingine biashara za Tanzania zinazuiwa kabisa Kenya, ni kwa nini? Kwa anaejua sababu tafadhali
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 21, 2022 #2 Jazia nyama uzi huu
B binti faby Member Joined Mar 16, 2020 Posts 28 Reaction score 71 Jul 22, 2022 #3 Labda hawataki bidhaa za Tanzania
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 22, 2022 #4 Mlikuwa mnamwona Magufuli mkorofi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jul 22, 2022 #5 Taja aina 3 za bidhaa Izo?