Ukikuta mchaga mwislamu, anakuwa mcha Mungu balaa

Ukikuta mchaga mwislamu, anakuwa mcha Mungu balaa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam

Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya Uchagga
ukuwakuta hawa ni wachamungu balaa wameshika dini sana
Tupe exprience yako ushawahi kuwaona pia?
 
Back
Top Bottom