kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Unampiga matukio??!!!!Huwa sisemi kitu lkn ndio unakuwa mwanzo wa mahusiano yetu kuisha...maana baada ya hapo hamna rangi ataacha kuona.
Mzee uliadimika sana jukwaani.Huwa sisemi kitu lkn ndio unakuwa mwanzo wa mahusiano yetu kuisha...maana baada ya hapo hamna rangi ataacha kuona.
Mwenyewe ndio ataomba tuachaneUnampiga matukio??!!!!
Nipo mzee...mara nyingi nachungulia tu vijana wanasema nnMzee uliadimika sana jukwaani.
Kuwa makini na chat za wanawake, ukae ukijuwa wanawake walioshibana wanaitana mpenzi.Natumai mu wazima sana.
Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli .?
Hi Nokia! Sijakuona muda mrefu, how have you been?Huwa sisemi kitu lkn ndio unakuwa mwanzo wa mahusiano yetu kuisha...maana baada ya hapo hamna rangi ataacha kuona.
Nipo...been goodHi Nokia! Sijakuona muda mrefu, how have you been?
Ulipaswa uandike where have you been?Hi Nokia! Sijakuona muda mrefu, how have you been?
Unatafuta nini kwenye simu ya mtu mkuu utakufa siku sio zakoNatumai mu wazima sana.
Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli .?
Wala usijali kabisa mkuu! It's ok kurekebishana mistakes and i take it in a positive way. Sasa mimi nilitaka kumuuliza "anaendeleaje" and not where he has been as you said, so how it was supposed to be?Ulipaswa uandike where have you been?
Samahamani lakini sina nia mbaya ya kukukwaza.