Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

Natumai mu wazima sana.

Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli .?
Ndio inaelekea mwisho hapo kwako

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Natumai mu wazima sana.

Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli .?
Tunat......ana halafu nahakikisha nimemchuna vizuri napenĹşi nahakikisha tamuhilo halafu namtema
 
Ngoja wenye wivu n mali zao waje kutoa muongozo, binafsi sishiki simu ya mpenz wangu nae yangu hashiki fullstop,Ila kama naiona huwaga sina mambo mingi
Uko vizuri sana. Privacy ni muhimu sana.
 
Hii mambo ikikutokea kwa yule ulieweka kambi nzito aiseeeh aiseeeh aiseeeh...yahitaji moyo

Nshakuta dem wangu ana Conversation za wahuni wawili na mimi wa tatu na wote tunaitwa honey,love,darling.......yani ni kuAltenate majina tu respectively

Sitaisahau umbwa ile
 
Mara nyingi hao ni wale wanaopenda maisha rahisi, anakusanya hela kwwnu wote watatu. Haishiwi.
 
Uko vizuri sana. Privacy ni muhimu sana.
Kabisa licha ya kuona meseji za mapenz anaweza kuta meseji za deals zako au miamala ambayo hujamshirikishaga ataanza kununa na kuona humshirikishi ktk mambo yako ya muhimu, ugomvi unaanzia hapo
 
Back
Top Bottom