Ukikuta ndizi nyumbani kwa mwanamke usile

Ukikuta ndizi nyumbani kwa mwanamke usile

jmour

Member
Joined
May 12, 2019
Posts
82
Reaction score
26
Nasikia kuna hii kitu huzungumzwa sana na watu hasa wanaume je ni kweli ukikuta ndizi kwenye geto la mwanamke usiile? Na kwa nini?
Wajuzi wa mambo nifumbueni.
 
Ndo Nimemaliza Kuila Saivi ...
Kuna Tatizo Kwani



#WEst And The Rest Of Us
 
NdiZi old fasheni siku hizi dildo kibao
Nini ndizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom