Ukikuta texts zake anatukana na alivyo ni tofauti. Ila ukija tena kutukuta utatushangaa...Sijui inakuaje hii

Unajua ni raha sana kupata demu ambae mnaendana Japo ni bht sana kupata madem wa dizain hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na huyo ndio utamuoa na utadumu nae. Utakuja kutoa ushuhuda humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo ndo kama Mimi sina mahusiano maalumu ni ya kutiana na kusepa ....jaman
 
Tumia akili bro
 
Kimasikhara hivi hivi ulivyo mwehu unaweza tangaza ndoa na wakati red lights zote umeziona then baadae unakuja kulaumu ndoa mbaya.
Unapuuzia baadhi ya vijitabia wakati wa uchumba then unakuja kutaabika na kulalama wakati wa ndoa.
Kuna siku samaki alimpenda ndege(bird) penzi likakolea wakaamua kufunga ndoa baada ya ndoa likaja swali nani atamfuata mwenzie ili waishi pamoja? Je ni angani ama majini moral of the story ni kuwa tunaruhusu hisia zitutawale zaidi kuliko matumizi ya akili tunaamini watu watabadilika tukishawaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…