Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Nitabembea na kiungo kitakacho mpa maumivu zaidiSwali liko wazi. Hiki kiseeenge ni noma na kinahitaji tuwe noma pia kinomanoma kumomesha unoma kinoma au vipi?
Yani hili zali la giza na umeme tungelichangamkia nakujikusanya kama milion hivi kila kata na kwenda kunya kwa pamoja kwenye ofisi zote za CCM.Swali liko wazi. Hiki kiseeenge ni noma na kinahitaji tuwe noma pia kinomanoma kumomesha unoma kinoma au vipi?
Akikujib nitag namie nimfahamu!