Ukikutana na demu wa hivi, kimbia ufe

Mi huwa namwambia mtoto wangu hivi!!!!
ukikutana na demu ulokole mwingi kimbia na usiniletee humu ndani.
Chukua mwanamke mixer kachambuka fulani hivi... Mara upole mara utundu hivi na awe ananyambulika basi!.
Hii kesi imeshakuwa ngumu. Sasa kunyumbulika si anatakiwa kuchagua mtoto mwenyewe?
 
Najuta mwaka jana nilijifanya kunyoa nikachanganya henna na breach ili iwe kama rangi ya moto kwa mbali! Nikipanda dalala, nikiend asokoni nikienda mjini naitwa pacome, kila nitakapopita utasikia aah pacome zouzoua nilikoma
duuh n hatare
 
HIzo ni opinions zako binafsi. By the way heshima zake binafsi wewe unazitafsiri katika mapana gani? Maana ushasema heshima zake
80% ya wacheza show kwenye dance wameweka bleach,
Sasa nitatofautishaje huyo mwanamke mwenye heshima mwenye bleach na mcheza show wa dance? Au bar maid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…