uKIKUTANA NA MAJIBU HAYA WAT WILL U DO?

uKIKUTANA NA MAJIBU HAYA WAT WILL U DO?

kwa kweli hayo majibu yanakatisha tamaa kabisa,ila ni makusudi na ukiona hivyo geuzia antena sehemu nyingine

hahahaaa!!
tatizo haipo auto kiivo, lazima ukigeuza utafute clear signal manually! hapo ndo watu wan-test then wanachapa lapa!
 
Kwa kweli nisingejisikia vizuri..ningeamua kumpigia ili anijibu kupitia mdomo wake.
 
Jaman! Wat if jamaa aliku bize. Au alikua ktk kikao, bungen mfano. Kuliko kutokukujib anaona akujib kwa kuibiaibia.
So in short inategemea jamaa alikua ktk mazingira gani.
 
mmmh ?not sure
Jaman! Wat if jamaa aliku bize. Au alikua ktk kikao, bungen mfano. Kuliko kutokukujib anaona akujib kwa kuibiaibia.
So in short inategemea jamaa alikua ktk mazingira gani.
 
Back
Top Bottom