Ukikutana na mbwa njiani

 
Hata kama umeicopy sehemu kula like mkuu.
 
Tatizo mkisaidia mnataka na mbusus and mbususu always comes with costs.

Kwani huyo mbwa ukimtibia hapohapo njiani bila kumpeleka nyumbani kuna shida, ama lah mpelek hospitali sahihi ya wanyama atibiwe na wewe ulipie kila kitu umwachie na balance kidogo(kama wewe una huruma sana) then ondoka umuache aendelee kujitibia.

Ili kuepuka kung'atwa basi wala usimfatilie kujua background yake mpaka ukamkuta pale wala usiwe na mawasiliano nae kabisa.

Tenda wema nenda zako.
 
Yahitaji moyo wa wanajeshi wa boko haram tofauti na hapo sio kwa mbwa

hawa tunaowakuta barabarani wanavyotia huruma,ushawahi muona mbwa aliepgwa

jiwe ule mlio wake kama mlango uliokosa kitasa,maumivu una ya feel wewe sasa kwann

usimsaidie,yahitaji moyo sana kumuongezea maumivu au kumpita bila kupunguza maumivu yake walau kidogo.

ikitokea kaniuma sio mbaya pia,always Ukiwa baba mwenye nyumba huwezi sumbuliwa na mbwa mgeni ''mbwa wenyeji wapo'' unafungulia banda tu anachangiwa na mbwa wenzie anarudi mtaani alipotoka na majeraha mara mbili yake.
 
Hili nalo tutalitizama

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hata wenzio walisema hivyo hivyo wanasaidia tu ...ila kilicho wakuta wanashuhudia kwa majonzi makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ