GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo.
Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya Hispania na Simba SC ya Tanzania?
Kuna nyakati huwa mnatulazimisha tuseme au tuwasemeeni mbovu humu Mtandaoni / Mitandaoni kisha mnatuona Wakorofi au hatuna Adabu.
Mnakera sana. Hovyoooooooooooo.......!!!!!