GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Tunaenda kupindua meza kwao.
2. Mungu ni wa wote.
3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe?
4. Mpira unadunda kokote pale.
5. Iwe jua iwe mvua.
6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu.
7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao?
GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu kukutana na shabiki wa aina hii popote pale kwanza anza kumcheka, pili muonee huruma na Tatu mwambie awahi haraka sana tiba yake Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma.
Ambapo ili apone atapewa vidonge vizuri vya kumtibu akili na kupona kabisa viitwavyo ChamaPhiriMwenda ambavyo atatakiwa kumeza 3 X 1 (yaani vidonge vitatu kwa siku moja) tu.