Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

Ukikutana na Wewe wa miaka 18 utamwambia nini?

Nitamwambia azidi kuitafuta hela huku akijijali kwa saana...
 
Achana na ndugu zako kabisa usiwasaidie kwenye jambo lolote!
Achana na makundi ya baba watoto wa baba mdogo sijui mjomba tupa kule!
Achana na pombe kabisa yaani usiguse!
Jipende wewe mwenyewe na jenga maisha yako tu!
 
Soma kwa bidii, acha kufuata makundi ya kipuuzi, epuka starehe zisizo na msingi.
 
.
IMG_20220314_095526_673.jpg
 
1.To set realistic objectives for himself and make efforts towards achieving them.
 
Achana na ndugu zako kabisa usiwasaidie kwenye jambo lolote!
Achana na makundi ya baba watoto wa baba mdogo sijui mjomba tupa kule!
Achana na pombe kabisa yaani usiguse!
Jipende wewe mwenyewe na jenga maisha yako tu!

Aisee
 
Back
Top Bottom