Siamini kama nimelitaja bure. Nataka nimjue zaidi. Nimuulize maswali. Anisaidie.......
Kutaja bure ni kama hivi: Unamwona binti mrembo anapita kafungasha masaburi ya haja, guu kama chupa ya bia, sura kama Cleopatra......afu badala ya kuendelea na biashara yako we unapiga shingo feni afu unaibuka na "Mungu wangu, ningempata huyu demu, sitatumia kondom wallah) .......Sasa huku ndio kulitaja bure jina la Mungu..............Sawa eh?
Mamushka haya maneno ya Busara ya Mungu huwezi yaandika kwa kikwetu nikupate zaidi...lol
Nakusalimu tu Mshiki!!
Katekisimu mamushka haina majibu kutoka kwa Mungu.........Katekisimu si kaandika binadamu? Mi nataka Mungu anijibu direct... kama alivyoongea na Musa na Nuhu anipe na mimi nafasi kidogo ya kumuuliza japo kaswali kamoja. Au nimwombe kitu kimoja......
Sasa rafiki ukimuuliza kwa ukali si ndio atakuogopa na kutokomea moja kwa moja?........Kama unampenda mwanao utamwachaje atokomee moja kwa moja? Labda kama humpendi. Mi naamini Mungu anatupenda, kwanini anamwacha shetani atufanyie visa? Kwanini asimuue atuache tujinafasi?
Siamini kama nimelitaja bure. Nataka nimjue zaidi. Nimuulize maswali. Anisaidie.......
Kutaja bure ni kama hivi: Unamwona binti mrembo anapita kafungasha masaburi ya haja, guu kama chupa ya bia, sura kama Cleopatra......afu badala ya kuendelea na biashara yako we unapiga shingo feni afu unaibuka na "Mungu wangu, ningempata huyu demu, sitatumia kondom wallah) .......Sasa huku ndio kulitaja bure jina la Mungu..............Sawa eh?
wengine wanasema mwacheni mama aitwe mama,
wengine wanasema mwacheni mungu aitwe mungu.........
hapo sijui wababa tupo upande gani wallahi.....?
ODM, pengine mie ningemuuliza Sir GOD hivi.........
''wajameni kulikoni mpaka kutuumba hivi tuhangaike na hizi baiolojia zetu,
kutwa kufuatilia/kutongoza mabinti, hebu tupe break kidogo na sie, mabinti waanze,
nao kuhangaika /kututongoza lol....inahusu.........''
Si tumeambiwa tumefanana naye? Kwani sisi tunafanana na mwanga?haya we gangamala unataka umuone...siku hiyo utashangaa kichakani inatokea sauti tu na mwanga na wewe unaanguka chali huko....
Amen....ntafurahi sana.babu ODM Mungu amesema atakujibu maswali yako yote kwenye ndoto leo usiku
Aiseee Mungu apitishe mbali, hachelewi kuzibadili hizi baioloji....... Kesho ukiamka mzee mzima unakojoa ukiwa umechuchumaa.......Mungu nakuomba usilikubali hili ombi la Bacha....hatari sana hii!wengine wanasema mwacheni mama aitwe mama,
wengine wanasema mwacheni mungu aitwe mungu.........
hapo sijui wababa tupo upande gani wallahi.....?
ODM, pengine mie ningemuuliza Sir GOD hivi.........
''wajameni kulikoni mpaka kutuumba hivi tuhangaike na hizi baiolojia zetu,
kutwa kufuatilia/kutongoza mabinti, hebu tupe break kidogo na sie, mabinti waanze,
nao kuhangaika /kututongoza lol....inahusu.........''
Hahahaha........ I TOLD HIM Yoooooo.... IGWEEEEEEEEEEEE!Hapo unatamani Mungu akugeuze uwe wa jinsia tofautio wewe
maana atakuwa na hasira na wewe yaani balaa
Hahahaha........ I TOLD HIM Yoooooo.... IGWEEEEEEEEEEEE!
Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla
Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli
Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi
Kwa nini wanalindana hivi
Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili
Kwa nini wanazidi kutuonea hivi
Kwa nini .........ahhhh nina hasira
Mungu angekuja JF asingekanyaga Jukwaa la Siasa wala La Dini. Angeweka kambi MMU na Chit Chat.....Afu tungepata nafasi ya kumuuliza maswali yetu

Aise nimeenda kule jukwaa la siasa najisikia kuumwa kichwa ghafla

Hivi Mungu huwa anasikiliza maombi yetu kweli

Kwa nini tunazidi kudhulumiwa hivi na hawa mafisadi

Kwa nini wanalindana hivi

Kwa nini wanatuona kama mazuzu wasio na akili

Kwa nini wanazidi kutuonea hivi

Kwa nini .........ahhhh nina hasira
kumbe akili tunazo? zinatusaidia nini basi au ndo tunasubiri Mungu ashuke aje atusaidie kuwawajibisha mafisadi?
Hivi kwa nini mungu ni mwanamme?
Wallah ukimuuliza hili swali atakubadili jinsia. Usithubutu kukutwa!Hivi kwa nini mungu ni mwanamme?
Hili ni swali jingine la kumuuliza Mungu.... Eti kuna uchawi? Kwanini anaruhusu wachawi waendelee kupeta?sawa, hapo tatizo ni letu, maana tulipewa akili na tunashindwa kuzitumia...acha tuendelee kufisadiwa! (na nani alikuambia tumelogwa?...lol! ama lweli sisi ni mabingwa wa visingizio)
Mkuu nafikiri akili tunazo ila kuna mtu katuloga na aliyetuloga kashakufa so tumebaki kama hatuna akili tunaenda tuu
God's tests are the healing medicine of those who are nigh unto Him, His sword is the ardent desire of all them that love Him, His dart is the dearest wish of those heartsthat yearn after Him, His decree is the sloe hope of them that ave recognized His truth.....
kama vipi kafanye marudio ya katekisimu biggy....
Hivi kwa nini mungu ni mwanamme?