Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
We Ally wa kitaa! Umejuaje kama Mungu mwanamme? Kwani kuna wa2 wanajua mungu ni jinsia gani?
Mungu Baba....... Baba ni Mwanaume au mwanamke?
Mungu Baba....... Baba ni Mwanaume au mwanamke?
Mungu Baba....... Baba ni Mwanaume au mwanamke?
Mfumo dume huo
Ahhhh tunamjibia Mungu hili swali ni la kwake
Ila muulizaji anaweza kubadilishwa jinsia yake ghafla akajikuta baiology yake haipo
Mfumo dume hadi kwa mungu! Kudadadadeeeki.
Na mungu hana ubavu wa kunibadilisha jinsia. I dare him or her!!
We naona unaleta utani
yeye mwenyewe ndo amekufanya uzaliwe kidume na leo unasema hana ubavu
Mfumo dume huo
Ahhhh tunamjibia Mungu hili swali ni la kwake
Ila muulizaji anaweza kubadilishwa jinsia yake ghafla akajikuta baiology yake haipo
Mamushka hebu mkaribishe huyu hapa chini.......
Mkuu nimekosa swali!
Maana kila jambo anafanya kwa ajili ya utukufu wake!
ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Aliyesababisha nikazaliwa kidume ni mdingi wangu. Au hujui kuwa mbegu za baba ndizo zinazo determine jinsia ya mwana?
Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani
Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe
Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani
We Ally wacha masikhara
<br />Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani<br />
Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe <br />
Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani <br />
We Ally wacha masikhara
Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!
Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!
Huyo mdingi aliktoka wapi na alizaliwa na nani na ni nani aliyemleta babu yako duniani
Ukirudi nyuma utajikuta umerudi kwa Adam mwanaume wa kwanza aliyetengenezw ana Mungu mwenyewe
Na aliyefanya hizo mbegu za kukutoa wewe kidume ni nani
We Ally wacha masikhara