Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!
Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!
Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!
Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!
Mdingi wangu alitengenezwa na mdingi wake na mdingi wa mdingi wake naye alitengenezwa na mdingi wake. Huyo Adam hatumjui sisi. Tujuacho ni masimulizi tu juu yake. Nadhani anatumika kwenye masimulizi kuwakilisha nafasi ya mwanaume katika uzazi.
Binafsi sidhani kama alikuwa ni mtu wa kweli kama mimi na wewe kwa sababu hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo. Kama huyo Adam alikuwa mtu wa kweli, alikuwa ni mtu wa sili gani? Alikuwa Muasia, Mwafrika mweusi, Mwarabu, Mzungu blonde, au?
Wewe unaamini alikuwepo babu wa babu wa babu wa babu wa babui wa babu wa babu wa babu yako
Kwani ushawahi kumuona
Na nani alikuambia kuwa alikuwepo au alishaexist
na hilo halina ushahidi wa kulishika ila unaamini tuu kuwa huyo babu yako wa kizazi cha kumi alikuwepo ambaye ndio chanzo cha mdingi wako wa sasa
Na kweli, Maxshimba akiingia hapa Maxcence ataihamishia hii sredi jukwaa la mastress........
Huwezi ukawajua ancestors wako wote kurudi nyuma. That is humanly impossible. Utarudi nyuma lakini itafikia pahala utagota.
Mkuu naona inaelekea huko sasa na ilikuwa tamu niaje hapa
Mkuu kuna jukwa la mambo ya kidini na hapa ni MMU mapenzi, mapendo na urafikiMbona mko waoga sana nyinyi? Au kuna maswali ambayo yako off-limits?
Ok ok just believe the same way you believe that there are several ancestors before your father
Tusiingie sana huko Ally tukaharibu maana au theme ya hii thread
Mkuu kuna jukwa la mambo ya kidini na hapa ni MMU mapenzi, mapendo na urafiki
Tusiingie sana kwenye dini maana wataihamisha hapa sasa hivi
We Ally wa kitaa! Umejuaje kama Mungu mwanamme? Kwani kuna wa2 wanajua mungu ni jinsia gani?
Haya bana naona kumbe maswali mengine hayaruhusiwi hapa. Kwaherini.
Mkuu huyu Ally naona anachafua hali ya hewa........dah!
Mpaka naanza kuiogopa hii sredi wallah!
Wewe nahisi unataka kwenda kwa kina zaidi ili hata uthibitishe hata ukweli wa uwepo wa huyo Mungu...sasa hicho nadhani kinawafanya wengine wawe uncomfortable, hasa ukizingatia mleta thread inaelekea kabisa yeye ni muumini, lakini pamoja na hilo basi akatamni tu siku akiumuona huyo Mungu wake basi atakuwa na maswali....
na mwitikio wa wengi umekuwa kwa staili hiyo (ni mawazo yangu binafsi, si lazima yawe sahihi vile vile)
babu usiogope ni mjukuu anacheza na babu yake