Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe ingekuwa kila post ya kumsema huyu Baba unalipwa sasa hivi ungekuwa bilionea.
Anawadanganya tu hao wakoromije na watu wa Burigi. Mbona yeye hafyatui kama anaona ni jambo jema? Officially inasemekana ana watoto watatu tu. Za kuambiwa wanapaswa kuchanganya na za kwaoInavyoonekana boss kubwa sio muumini wa nyota ya kijani.
Haya mtalaamu wa afya,View attachment 1151188
Wakina mama jihadharini na aina yeyote ya uzazi wa mpango. Tamko la rais ni sheria.
Yaani wewe ingekuwa kila post ya kumsema huyu Baba unalipwa sasa hivi ungekuwa bilionea.
Yaani wewe ingekuwa kila post ya kumsema huyu Baba unalipwa sasa hivi ungekuwa bilionea.
Anamuonea?Yaani wewe ingekuwa kila post ya kumsema huyu Baba unalipwa sasa hivi ungekuwa bilionea.
Wewe wasemaAnamuonea?