Ukikutwa na aina yeyote ya uzazi wa mpango umekiuka agizo la rais

Ukikutwa na aina yeyote ya uzazi wa mpango umekiuka agizo la rais

Mbona una hate sana.na huyu dada??hii ni mara ya 3 nKuona mzee baba unakwama wap?hufananii ati
Acha kudandia gari kwa mbele. Unajua mimi na huyo unaemuita dada urafiki wetu ukoje? Ushamuona amekasirika whatever I tell her? Eti nam-hate
 
Wengine wataitumia na kuitafsiri vibaya kwa kubaka mabinti ndio watakapo kutana na rungu wakati mzee baba atakuwa Chamwino anagonga mvinyo.
 
Acha kudandia gari kwa mbele. Unajua mimi na huyo unaemuita dada urafiki wetu ukoje? Ushamuona amekasirika whatever I tell her? Eti nam-hate
Haya majibu hayafanani na avatar yako 😛 😛 😀 😀
 
Ndio nasaka wa6 sasa, sitaki kabisa kumkosea rais wetu mtukufu.
 
Back
Top Bottom