stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
naomba ufafanuzi wa sheria
unakuta kosa la helmet ela yakeKosa la mwendesha chombo haliunganishwi na kosa la mapungufu ya chombo. Mfano, utaandikiwa la kukosa leseni na la ubovu wa chombo.
kungekuwa na batan ya kublock wewe ungekuwa wa kwanza kukulima block hiz comment zako uwa hazinifurahish hata kidogo sasa watu kama nyinyi ni wa kuwablock tuBoda kivipi? Mpakani au mwendesha chombo pikipiki?
Cost jamaa hana kosa na ameuliza vizuri tuu.. Wewe ndio umeandika maelezo kinzani "BODA" kwa lugha nyepesi ni mpakani wa nchi moja na nyinginekungekuwa na batan ya kublock wewe ungekuwa wa kwanza kukulima block hiz comment zako uwa hazinifurahish hata kidogo sasa watu kama nyinyi ni wa kuwablock tu
Ndo iko hivyounakuta kosa la helmet ela yake
ela ya lesen ela yake
ela ya bima ela yake
hii imekaa vp
Huu ni mfano au makosa uliokutwa nayo?unakuta kosa la helmet ela yake
ela ya lesen ela yake
ela ya bima ela yake
hii imekaa vp
Hiyo ndo inavotakiwa,unakuta kosa la helmet ela yake
ela ya lesen ela yake
ela ya bima ela yake
hii imekaa vp
pumbavu, mwandiko wako unaakisi kuwa wewe ni kijana wa hovyo. Shenzi.kungekuwa na batan ya kublock wewe ungekuwa wa kwanza kukulima block hiz comment zako uwa hazinifurahish hata kidogo sasa watu kama nyinyi ni wa kuwablock tu
Uchokozi huoBoda kivipi? Mpakani au mwendesha chombo pikipiki?
Nimeuliza tu kwa nini iwe uchokoziUchokozi huo
Ni hivyo hata kwenye magari Chief,kila kosa na hela yake!unakuta kosa la helmet ela yake
ela ya lesen ela yake
ela ya bima ela yake
hii imekaa vp
Kijana kalimwa bakora na mavazi meupe, ana hasira sio poa.Nimeuliza tu kwa nini iwe uchokozi
Mwenyewe kachukia 😜Nimeuliza tu kwa nini iwe uchokozi