Ukila kinyesi/choo cha binadamu utatibu ugonjwa huu

Joined
Jul 9, 2015
Posts
23
Reaction score
2
Je unajua kuna ugonjwa ambao tiba yake ni kula kinyesi? NDIO unakula mavi yaani choo cha binadamu.

Ugonjwa huo unaitwa ulcerative colitis unasababishwa na bacteria C.difficile. Ni ugonjwa ambao unakufanya unaharisha sana, yaani siajabu kuhara hata mara arobaini kwa siku. Bila tiba unaweza kupoteza maisha yako.

Kwenye utumbo mkubwa kuna bacteria wazuri na bacteria wabaya. Ugonjwa huu husababishwa na utumiaji wa hovyo wa dawa kali za antibiotics kwa kipindi kirefu ambazo huua wadudu wazuri na kufanya wadudu wabaya kuongezeka na hatimaye kuleta madhara ya kuhara sana.

Swali linakuja... ugonjwa unaosababishwa na kutumia dawa za antibiotics je utawezaje kutibiwa na dawa hizo hizo?
Kuna tiba gani ambayo itaua wadudu wabaya kwenye utumbo bila kudhuru wadudu wazuri?

Jibu ambalo sisi madaktari tulipata ni kumpa mtu kinyesi cha binadamu mwenzie, yaani kinyesi chenye bacteria/wadudu WAZURI wakutosha. Anaejitolea kinyesi chake kwanza hupimwa kukakikisha hana magonjwa kama hiv, hepatitis nk. Hupewa dawa ili apate choo siku hio, kinyesi huchukuliwa na kusagwa kwenye blender, alafu mgonjwa hupewa kwa njia ya mrija puani au mrija kwenye tundu la haja kubwa.

Niambie kama ni wewe uko tayari 'kula' kinyesi kuokoa maisha yako?
Je uko tayari kumpa ndugu yako, mke/mume wako choo chako akile?

Naomba unifollow kwenye account yangu ya Instagram...@ daktari_sundae
 
Attachments

  • IMG_20150710_095357.jpg
    IMG_20150710_095357.jpg
    8.3 KB · Views: 1,156
  • IMG_20150710_123614.jpg
    IMG_20150710_123614.jpg
    19.2 KB · Views: 1,111
  • unnamed (14).jpg
    unnamed (14).jpg
    12.9 KB · Views: 1,109
Je ukinywa yogurt? pia ina bacteria wazuri, je haifai kuwa mbadala wa kinyesi?

Some facts are difficult to swallow
 
najuta kusoma hadi mwisho ,nusu nitapike

ahahaa...
mkuu umenichekesha sana.
ina maana wewe hutaki
kunywa vidonge Ma.vi ?
attachment.php

au pia hautaki dawa ma.vi
kama hii...?
attachment.php

ona sasa mwenzio anaendelea kupta
dozi yake muruuuuaaaa.
attachment.php
 
Duuuh hatari. Kwanini asipewe Bacteria hao kutoka kwenye culture media?
 
Ulcerative colitis ni autoimmune disease... sidhani kama inasababishwa na c.difficile, hiyo c.difficile inatibiwa kwa flagyl...

Halafu sio ukila, labda ungeweka Fecal Microbiota Transplant, ukisema kula ni kitendo cha kutafuna mdomoni ambacho sio sahihi... kwa sababu hiyo kitu inafanyika kwenye colon
 
Asante Mkuu wa chuo, nimejitahidi kutumia lugha ya kawaida badala ya medical terminologies ili non medics nao waweze kusoma na kuelewa.
Naomba nikujibu as follows
1) Ulcerative is an autoimmune disease that makes the bacteria clostridium difficile more likely to florish. Fecal transplant can treat digestive or auto-immune diseases, including Irritable Bowel Syndrome, Crohn’s Disease, and Ulcerative Colitis.
2) Clostridium difficile can be treated with flagyl or Vancomycin. Flagyl being the first line of treatment. However it can relapse, and fecal transplant has been proved to work when all antibiotics fail to eliminate C.difficile.
Bear in mind C.difficile is infective and patient may spread it to friends and relative if he/she is not hygienic.
3) The fecal sample needs to reach the colon for it to work so it can be taken orally with (stool) capsules, nasally by NGT tube or anally via simplying flushing with syringe or using sigmoidoscope, colonoscope.
 
Last edited by a moderator:

daktari, katika Chrohn's disease hiyo ina athiri sehemu yoyote katika digestive system nzima na katika fecal Transplant Microbiota yenyewe ina deal na colon, vipi hapo kwenye Chrohn's disease?!

pia kama hiyo Transplant inaweza tibu Ulcerative colitis inakuwa vipi wanaenda kwenye surgery?!

halafu pia kama ulcerative colitis inasabishwa na c.difficile, inakuwa vipi uwe autoimmune?!
 
1)Crohns disease inaathiri njia yote ya chakula kwanzia mdomoni mpaka kwenye mkundu lakini c.difficile anapatikana utumbo mkubwa na ndo anaposababisha madhara ya kuharisha sana.

2)Fecal transplant inaua bacteria hatari clostridium difficile ambae analeta diarrhea...wengine wanaita C.difficile colitis.
Lakini mdudu huyo anapata chance ya kushamiri kwenye utumbo huo mkubwa pale
(i)kinga ya mwili ya mgonjwa inaposhuka kwa sababu yeyote ile (mfano Hiv)
(ii) utumbo mkubwa unapoathiriwa na magonjwa ya autoimmune kama ulcerative colitis,crohns disease
(iii) na pale mtu anapotumia antibiotics nyingi/kali sana na kuua wadudu wazuri kwenye utumbo kubwa.

3) Matibabu ya Crohns disease yatahijati uzi wake tofauti...hapa tunaongea tu kuhusu part moja ya ugonjwa huo pale mgonjwa anapopata maambukizi ya C.difficile

4)Soma part 2
 
1)Crohns disease inaathiri njia yote ya chakula kwanzia mdomoni mpaka kwenye mkundu lakini c.difficile anapatikana utumbo mkubwa na ndo anaposababisha madhara ya kuharisha sana.

2)Fecal transplant inaua bacteria phatari clostridium difficile ambae analeta diarrhea...wengine wanaita C.difficile colitis.
Lakini mdudu huyo anapata chance ya kushamiri kwenye utumbo huo mkubwa pale
(i)kinga ya mwili ya mgonjwa inaposhuka kwa sababu yeyote ile (mfano Hiv)
(ii) utumbo mkubwa unapoathiriwa na magonjwa ya autoimmune kama ulcerative colitis,crohns disease
(iii) na pale mtu anapotumia antibiotics nyingi/kali sana na kuua wadudu wazuri kwenye utumbo kubwa.

3) Matibabu ya Crohns disease yatahijati uzi wake tofauti...hapa tunaongea tu kuhusu part moja ya ugonjwa huo pale mgonjwa anapopata maambukizi ya C.difficile

4)Soma part 2

okay daktari, unaweza ukaongelea irritable bowel syndrome maana hiyo ni functional diarrhea sidhani kama inahusiana na c.difficile ni kivipi Fecal Microbiota Transplant inaweza tibu?!
 
Asante Mkuu wa chuo, nimejitahidi kutumia lugha ya kawaida badala ya medical terminologies ili non medics nao waweze kusoma na kuelewa.
Naomba nikujibu as follows
1) Ulcerative is an autoimmune disease that makes the bacteria clostridium difficile more likely to florish. Fecal transplant can treat digestive or auto-immune diseases, including Irritable Bowel Syndrome, Crohn’s Disease, and Ulcerative Colitis.
2) Clostridium difficile can be treated with flagyl or Vancomycin. Flagyl being the first line of treatment. However it can relapse, and fecal transplant has been proved to work when all antibiotics fail to eliminate C.difficile.
Bear in mind C.difficile is infective and patient may spread it to friends and relative if he/she is not hygienic.
3) The fecal sample needs to reach the colon for it to work so it can be taken orally with (stool) capsules, nasally by NGT tube or anally via simplying flushing with syringe or using sigmoidoscope, colonoscope
.
Hapo kwenye bluu sijui ulimaanisha nini uliposema uketumia lugha ya kawaida?ila hapo kwenye nyekundu ndio kabisa au wewe ni daktari wa ki-nigeria?
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom