Ukila mbu unaweza kuumwa Malaria?

Ukila mbu unaweza kuumwa Malaria?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Hapa nimeshika mbu kama watano, sema watu nimewatafuna. Ili nsimwachie wenzie wakaj kumbeba wakampeleka kumtibu. Nikitafuna wengi ntapata malaria??
 
Jaribisha, huwezi jua, unaweza kuwa mgunduzi wa kinga ya malaria, maana hizi chanjo tunazodungwa ni vimelea vya ugonjwa husika ndio vinaingizwa kwenye mfungo wa mwili na kuwa kinga dhidi yake.
 
Stupidity
Na Kuna watu somewhere wanatarajia Vitu Vizuri kutoka kwa huyu Bwana mtoa mada just imagine alicho andika na akaki'Upload hapa
 
Na hii hali ya hewa.
JamiiForums1357710441.jpg

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Stupidity
Na Kuna watu somewhere wanatarajia Vitu Vizuri kutoka kwa huyu Bwana mtoa mada just imagine alicho andika na akaki'Upload hapa
Hata memory storage unayotumia ilitokana na mtengenezaji kuwa na tatizo la kusahau..
unaweza ona ni swali la kijinga but lina maana yake.
wanasema wadudu kama chawa wanasababisha ugonjwa wa tauni but ukienda mtaani utakuta mtu anatafuna chawa...
wewe ndo mpumbavu.
 
Jaribisha, huwezi jua, unaweza kuwa mgunduzi wa kinga ya malaria, maana hizi chanjo tunazodungwa ni vimelea vya ugonjwa husika ndio vinaingizwa kwenye mfungo wa mwili na kuwa kinga dhidi yake.
nimewaza
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Hapa nimeshika mbu kama watano, sema watu nimewatafuna. Ili nsimwachie wenzie wakaj kumbeba wakampeleka kumtibu. Nikitafuna wengi ntapata malaria??
Utangulizi: Kwanza sio mbu wote hueneza malaria, ni wale aina ya Anopheles tu tena hata sio wote na pia ni mbu jike pekee tena aliye na vimelea vya malaria (Plasmodium), tena vimelea hivyo viwe katika hatua ya sporozoite na tena viwe katika tezi za mate za mbu huyo!

Jibu: huwezi kupata malaria hata ukila mbu kilo mbili, kwa sababu ili upate malaria sharti mbu aliyeambukizwa vimelea vya Plasmodium akuingizie vimelea hivyo kwenye mfumo wa damu na sharti vimelea hivyo viingie kwenye ini kwanza na kubadilika (metamorphosis) na kisha kuingia tena kwenye mfumo wa damu na kubadilika tena hadi kufikia hatua ya kusababisha malaria. Ukimeza vimelea vya malaria vitameng’enywa kama chakula na makapi kutoka nje kama choo.
 
Back
Top Bottom