Kilbark
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 572
- 168
Sio kweli! Hayo ni mawazo mgando mkubwa, kweli aliyeturoga katuweza!!
Msemo kama huu unatofautiana nini na wa "aliye juu mngoje chini"?
Wadau wataendelea kukutafunia mkeo na hawataacha kwa vitisho kama hivi. Hii misemo ipo tu, hata kina mama wanayo kwenye kanga zao!!
Cha muhimu mkeo akimegwa, na wewe tafuta mnyonge wako utafune mke wake. La sivyi utabaki ku promulgate misemo isiyo na mbele wala nyuma!!
Ho ho ho! hold a minute. Unataka kuhalalisha watu kuvunja ndoa zao? Ina maana kuwa hata ufisadi unahalalisha kwa maana hiyo. Kwamba ukiona hata mkuu wa kaya anaibia WaTZ na wewe waibie walio chini yako. Tabia ya kutembea na wake za watu sio nzuri. Ni afadhali hata kutembea na msichana ambaye hajaolewa lakini sio mke wa mtu. Ingawaje wote ni uzinzi ambao ni kinyume na maadili ya Dini zetu.