Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ilikuwa tunabadili tu kulekule.
Mwarabu,ujasi,tiba,cive,social,bondeni,ujasi ya bondeni basi inakuwa imeisha hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi jiji limehamia bambalaga. Watapachoka tu[emoji23][emoji23]

Unapiga vyombo wapi wewe?
Hiyo ndio ile ya kama waenda kisesa?

Hapa panaitwa 'Nachatia ndani ya blanket [emoji23]
Kesho location itasoma The Hub then Bill's river / kurudi kulala.
Mimi sijui Dodoma nilienda kufanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kote huku sikujui[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui Dodoma nilienda kufanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kote huku sikujui[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulienda kusoma dada. Si ulitumwa na Mbeya nzima? 🤣🤣🤣 wala usisikitike.

Unapajua sehemu gani sasa wewe? Si ajabu hata msalato hujawahi fika. Hata wine za kupima za Dom hujawahi kunywa 😂 dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…