Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Usiwaze sana hela... hela kama pisi ukishazipa attention sana zinakukwepa. Jifanye huna time nazo, zinakushobokea balaa
 
Sijawahi kunywa pombe.

Mwaka jana mwishoni nikaenda mkoa kukutana na mwenzangu. Mwenzangu akawa ana chupa ya wine kaiandaa tuinywe ndiyo tumegane.

Jina la wine limenitoka nahisi linaishiwa na neno 'son'

Nikauliza kama haina kilevi nikajibiwa haina kilevi nilivyoionja nikahisi ina ladha mbaya sijawahi jua, nikawa sitaki kuendelea, mama mtu anafosi niendelee.

Nikanywa viglass vinne si akaanza kujisogeza tumegane eeh nikawa mkali namwambia asinisogelee nahisi joto. Nikashuka kitandani nikalala chini, hapo nalalamika balaa, na ninajua nalalamika ila siwezi acha.

Kesho yake nikaamka mchana sauti imekauka kichwa kinazunguka. Hii ni experience yangu pekee ya pombe.
 
Robertson [emoji23][emoji23]

Huyo naye alitaka akuonee tu. Hizo sio pombe za matumizi hayo, zinalegeza viungo.

Angeandaa zanzi hapo, inashuka chini chap mama watoto unamwona ananata huelewi. Yani akisimama kwenda chooni unatamani umpige gwara umle immediately.
 
Waswanu anapika mdudu kumbe?! Nilienda nikageuzia mlangoni, niliyekuwa naye hakupapenda mazingira yale. Sijui mke wa mtu ah nisiwaze sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Anna asije akajiroga akaingia kwenye ndoa kabla hajaexperience haya maisha.
Hahahaa itakuwa hakupaelewa tu. Me mwenyewe platinumz ya Area D/C nilikuwaga siielewi.

Huyo hata asipokuwa na experience shaka nae sina 'church girl huyu hana baya 😂 Ila ni vizuri kumaliza aisee unakuta hamna hata la kukushtua. Japo pia ina ubaya, siku ukimiss kutoka? Na uko married na mlokole swaga za night outing hanaga. Sijui utafanyaje
 
Ebwana ndiyo ni Robertson.

Nilihama kitandani.
 
[emoji85]

Nina stress sana brother..hadi nawaza kutumia pombe,labda itapunguza machungu yangu na kunipa usingizi.

Kulala usiku imekuwa mtihani sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sumu haionjwi ,zile feeling za kulewa zinakufanya unakuwa na over confidence ,hakuna unaachoona kinaweza kukushinda ,unakuwa pale CLOUD 9 juu kabsa hahhah
 
Zanzi?
I'll test it... Ni ya wapi? Ladha yake?
Sasa utest ukiwa ushaandaa mazingira usije ukaparamia watu!

Ni cream liquor inatengenezwa TZ. Tamu kuliko amarula. Ina ladha ya maziwa pure. Na inashuka chini vibaya mno.

Chupa ndogo 200mls RRP yakeni 6,000 TZS kama sikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…