Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]John kisomo [emoji38] shule ilikushika ukashikika. Ila napo ulisoma mbali na town yaweza kuwa sababu.
Sinaga promise feki, unanijua. Nikiingia mjini wewe na Hornet labda mniblock.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nitaagiza soda nikujazie nzi mezani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wanasema unakuwa BLISSED OUT,hahaha zile vibrations na ECSTACY ni kiboko kbsa ,bahati mbaya ni temporary,ukipata Hiyo ni sawa na mtu anapata Orgasm first time,lazima aanze kimbiza skirt KWA fujo after first orgasm[emoji16]
Nikinywa na nyie nitazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sinaga promise feki, unanijua. Nikiingia mjini wewe na Hornet labda mniblock.
Lazima unywe. Tumechoka mikwara yako [emoji23]
Wakionja wanabadilikaga vibaya mno. Acha afanye kwanza aone hana interest ndio aache.Hahahaa itakuwa hakupaelewa tu. Me mwenyewe platinumz ya Area D/C nilikuwaga siielewi.
Huyo hata asipokuwa na experience shaka nae sina 'church girl huyu hana baya [emoji23] Ila ni vizuri kumaliza aisee unakuta hamna hata la kukushtua. Japo pia ina ubaya, siku ukimiss kutoka? Na uko married na mlokole swaga za night outing hanaga. Sijui utafanyaje
🤣🤣🤣🤣Sasa utest ukiwa ushaandaa mazingira usije ukaparamia watu!
Ni cream liquor inatengenezwa TZ. Tamu kuliko amarula. Ina ladha ya maziwa pure. Na inashuka chini vibaya mno.
Chupa ndogo 200mls RRP yakeni 6,000 TZS kama sikosei.
Inakuwa mkuu?Wazungu wanasema unakuwa BLISSED OUT,hahaha zile vibrations na ECSTACY ni kiboko kbsa ,bahati mbaya ni temporary,ukipata Hiyo ni sawa na mtu anapata Orgasm first time,lazima aanze kimbiza skirt KWA fujo after first orgasm[emoji16]
Hujaambiwa twende sawa... we tuigizie tu kuwa upo pamoja nasi [emoji23][emoji23]Nikinywa na nyie nitazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah sikutanii nitaagiza soda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yameparanganyika huelewi...moja haikai mbili haikai
Aaah nisikutishe bana kunywa tu. Kwanza unaweza kuta wala isikufyatue, watu wanatofautiana damu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Now I'm not ready to mingle. Siku nikiwa tayari uhakika naipiga. Labda niikose... Au tu nitest? Si nitalala bana? Nakunywea ghetto.
Upatikanaji wake si sio wa kusua sua?
Nikinywa na nyie nitazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah sikutanii nitaagiza soda.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujaambiwa twende sawa... we tuigizie tu kuwa upo pamoja nasi [emoji23][emoji23]
Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboiNikinywa na nyie nitazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah sikutanii nitaagiza soda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Harmonize anaendaga sana hapo small planet kupiga show...Wanasema wanataka kutoooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hatimaye nakata moto
Usiku mwema wote
Kama umeshaingia kwenye ndoa hizi relate na ,ile first orgasm, Vibration za positive energy kwenye mwili zinazoleta relaxation fulani na feeling ya kuona unaweza yote sababu nguvu unazo hahaha ndio close experience ,huoni watu huko juu wanasema wakilewa wanatongoza chochote,yaani ni kama MONDE ARABE inaEXPAND KWA muda abilities zako hahahaha,kisha zinacolapse kesho yake asubuhi
Magoli sana. Take care.Hatimaye nakata moto
Usiku mwema wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja ipo siku nitajilipua nitajaribu.
Ila sijui naemdaje Bar kununua,msala mwingine [emoji1751]
Hivi zile chupa za wine zinaruhusiwa kuondoka nazo??au ni kama za soda ambazo lazima kurudisha[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawaezi kunishawishi.Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi
Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.
Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Mona matata