Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

John kisomo [emoji38] shule ilikushika ukashikika. Ila napo ulisoma mbali na town yaweza kuwa sababu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbali na town siyo sababu.

Kuna watu kila weekend walikuwa wanaamkia Pestana [emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi Pestana yangu ilikuwa kanisani.yaani kama walituroga hivi ..kila jioni nawahi fellowship.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wanasema unakuwa BLISSED OUT,hahaha zile vibrations na ECSTACY ni kiboko kbsa ,bahati mbaya ni temporary,ukipata Hiyo ni sawa na mtu anapata Orgasm first time,lazima aanze kimbiza skirt KWA fujo after first orgasm[emoji16]
 
Hahahaa itakuwa hakupaelewa tu. Me mwenyewe platinumz ya Area D/C nilikuwaga siielewi.

Huyo hata asipokuwa na experience shaka nae sina 'church girl huyu hana baya [emoji23] Ila ni vizuri kumaliza aisee unakuta hamna hata la kukushtua. Japo pia ina ubaya, siku ukimiss kutoka? Na uko married na mlokole swaga za night outing hanaga. Sijui utafanyaje
Wakionja wanabadilikaga vibaya mno. Acha afanye kwanza aone hana interest ndio aache.
 
Sasa utest ukiwa ushaandaa mazingira usije ukaparamia watu!

Ni cream liquor inatengenezwa TZ. Tamu kuliko amarula. Ina ladha ya maziwa pure. Na inashuka chini vibaya mno.

Chupa ndogo 200mls RRP yakeni 6,000 TZS kama sikosei.
🤣🤣🤣🤣

Now I'm not ready to mingle. Siku nikiwa tayari uhakika naipiga. Labda niikose... Au tu nitest? Si nitalala bana? Nakunywea ghetto.

Upatikanaji wake si sio wa kusua sua?
 
Wazungu wanasema unakuwa BLISSED OUT,hahaha zile vibrations na ECSTACY ni kiboko kbsa ,bahati mbaya ni temporary,ukipata Hiyo ni sawa na mtu anapata Orgasm first time,lazima aanze kimbiza skirt KWA fujo after first orgasm[emoji16]
Inakuwa mkuu?
Elezea kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Now I'm not ready to mingle. Siku nikiwa tayari uhakika naipiga. Labda niikose... Au tu nitest? Si nitalala bana? Nakunywea ghetto.

Upatikanaji wake si sio wa kusua sua?
Aaah nisikutishe bana kunywa tu. Kwanza unaweza kuta wala isikufyatue, watu wanatofautiana damu.

Upatikanaji wake ni uhakika mpaka supermarkets
 
Hujaambiwa twende sawa... we tuigizie tu kuwa upo pamoja nasi [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja ipo siku nitajilipua nitajaribu.
Ila sijui naemdaje Bar kununua,msala mwingine [emoji1751]

Hivi zile chupa za wine zinaruhusiwa kuondoka nazo??au ni kama za soda ambazo lazima kurudisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikinywa na nyie nitazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wallah sikutanii nitaagiza soda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi

Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.

Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Moja matata
 
Wanasema wanataka kutoooooo
Harmonize anaendaga sana hapo small planet kupiga show...

Wahuni hawatanii hapo. Wanamaanisha... wanataka kukuto... huoni macho ya uchu yanayokuzunguka?

Kuna jicho mtu anakukata unajua kabisa nikikosea step tu huyu anaenda kunikaza nife [emoji23][emoji23]
 
Inakuwa mkuu?
Elezea kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshaingia kwenye ndoa hizi relate na ,ile first orgasm, Vibration za positive energy kwenye mwili zinazoleta relaxation fulani na feeling ya kuona unaweza yote sababu nguvu unazo hahaha ndio close experience ,huoni watu huko juu wanasema wakilewa wanatongoza chochote,yaani ni kama MONDE ARABE inaEXPAND KWA muda abilities zako hahahaha,kisha zinacolapse kesho yake asubuhi
 
Wine unabeba.
Au nunulia supermarket, tena huko bei ni chee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja ipo siku nitajilipua nitajaribu.
Ila sijui naemdaje Bar kununua,msala mwingine [emoji1751]

Hivi zile chupa za wine zinaruhusiwa kuondoka nazo??au ni kama za soda ambazo lazima kurudisha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidhani ni rahisi hivyo kujaza nzi kwenye meza yenye bia. Nakwambia hutoboi

Nina huyu sis wangu
Ijumaa kaninyweshaaaa, jumamosi nikaamka hoi. Jumamosi jioni call nyingine njoo sehemu flani nimeenda nikaleta uzungu wa kuagiza Kilimanjaro water.
Maji nikanywa na bia nikanywa vile vile. Dhamira niliyotoka nayo home ikavurugika.

Sasa nakwambia usikae meza moja na walevi kama we sio mtumiaji. Wako na convincing power Mona matata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hawaezi kunishawishi.
Mtu ambaye sijawahi onja kabisa ni ngumu kunishawishi.

Wanashangaa naagiza fanta Orange.
Kwanza hizo pombe hata kuzitaja majina mdomoni siwezi [emoji23][emoji23][emoji23]ndio mwanzo wa kuaibika[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom