Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji119]Hautolewa hata nilianza kunywa toka darasa la 5 A"
Nilikuwa nachopendea kunywa nikilewa naenda kulala bila bughuza wa kushtuka nilikuwa naipa pombe za wazazi wangu au naomba kidogo nimiminiwe
Hadi nikawa muandamizi
Hadi leo Alhamdulah, nna uwezo wa kumaliza Kvant au konyagi kubwa na nisisumbue,
Kreti la serengeti lite namaliza
Namshukuru sana MUNGU nikilewa sitapiki
Pombe nzuri sana naipenda mno ni kama mke wangu
Hapana mtumishi mwenzangu.Siku nataka nijaribu.
Nitanunua ,nikae nyumbani,ninywe nione inavyokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi wewe unakunywa halafu unanishauri mimi nisijaribu .Hapana mtumishi mwenzangu.
Mimi kama baba mtumishi I won't recommend.
Changamoto ya pombe ni kwamba kuna siku tu utapitiliza.
Unaweza kuji condition kunywa kiasi fulani, na ukaweza ku maintain
Unfortunately, siku itafika utapitiliza.
Ukipitiliza, utajikuta;-
√ Umeongea kitu unplanned
✓ Umefanya kitu unplanned
✓ Umeenda sehemu unplanned
✓ Umepoteza some valuables
✓ Umeharibu baadhi ya vitu
Na mengine mengi.
Of course, ukilewa kidogo kuna vibe fulani huwa linakuja...very amaizing [emoji23][emoji23]
________________________________
Mimi nakunywa mvinyo mwekundu tu (Mainly, Drostdy Hof)...na kiukweli, hii ina health benefits lukuki.
Nonetheless, I know its just a matter of time siku moja ntazidisha na matokeo yake yatakua sio mazuri (hata kama ni miaka mingi ijayo)
Nakusudia kuacha by the way, nijikite kwenye non alcoholics. Nadhani kuna non alcoholic wines kama champaigne.
Mtumishi the so called 'drink responsibly' inahitaji a lot of control and discipline.Mtumishi wewe unakunywa halafu unanishauri mimi nisijaribu .
Maskini[emoji85]
Nina stress sana brother..hadi nawaza kutumia pombe,labda itapunguza machungu yangu na kunipa usingizi.
Kulala usiku imekuwa mtihani sana kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka nistue tu kupunguza stress[emoji4]Mtumishi the so called 'drink responsibly' inahitaji a lot of control and discipline.
Ili usiwe addicted, and usipitilize kiasi.
Nikiwa extremely busy, kwa mfano....naweza fika miezi kadhaa sijaonja mvinyo japo unakuwepo nyumbani
Hiyo discipline ipo mtumishi mwenzangu ama utanogewa unywe kila siku?
[emoji23]
Mkuu una maelezo mazuri
Tatizo ninashindwa kulala.Maskini
This has has broken my heart, mtumishi mwenzangu.
Look, Mungu aliyeruhusu hilo litokee is the same God unamuabudu sasa hivi.
And, unamuabudu kwasababu unajua He's able.
Stay positive please, Mungu mwenyewe anajua namna atakupa faraja kupitia amani yake ipitayo fahamu zote.
Kunywa pombe kuondoa stress ndo huleta addiction sasa, usiifikirie hii option tena.
I know you're strong and you'll get through this to God's Glory. Tunakupenda
[emoji23]aiseee.Mkuu pombe ni nzuri sana ukiijulia na ukanywa kwa starehe sio unafakamia kama vile ni mwisho wa dunia. Na usinywe pombe ili kulewa, kunywa kama starehe ukishachangamka basi ishia hapo. Kuna kiwango cha pombe ambacho ukikifikia basi ni full burudani unapata raha isiyo na kifani kama ni wa kucheka utacheka saana, kama ni kuongea utaongea kama cherehani, kama ni ku dance uta dance sana... ila ukishavuka hicho kiwango mambo yanaanza kwenda mrama na mwisho kuharibika kabisa!
Hapana mtumishi mwenzangu.Tatizo ninashindwa kulala.
Kuliko kutumia madawa ya usingizi,ni Bora nikawa nastua na wine kidogo,mambo safi nalala[emoji4].
Mimi kabla sijaanza darasa la kwanza nilikua najua ladha za pombe kali zote ukiniwekea kwenye glass ukaniuliza hii ni nini nakutajia. Enzi hizo miaka ya late 80's kulikua na VAT 69, Grants, Johnnie Walker, Dodoma Wine zote nilikua nimeshakunywa! Mzee wangu (RIP) alikua anajaza machupa kwa fridge kila mtu anajimiminia tu. Bia nimekuja kuanza kuzinywa baada ya kumaliza form six. Sasa hivi nina miaka 15 sijanywa bia kabisa, nakunywa glass moja ya wine na soda tu.Mimi nimeanza kunywa pombe nwaka1985 lkn kuna vitu jamaa kaviongerea kwangu ni vipya kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Siwezi kuzamia ,Amini nakuambia[emoji4].Hapana mtumishi mwenzangu.
Naogopa unaweza ukazamia huko mazima ukawa addicted.
Unaamini katika Counselors?
Unadhani wanaweza kukusaidia?
Good.[emoji23]aiseee.
Mimi nataka nione inafananaje tu mdomoni..sitaki kulewa
Asante mkuu.Good.
Fuata maelekezo hapo juu hautajutia.
Club 007 au smirnoff iceInabidi niwaulize Sasa wanywaji ni kilevi gani ninachoweza kunywa kitamu kitamu kinachoendana na soda.
Sent using Jamii Forums mobile app
As long as baba angekuepo asingependa kukuona unakunywa...Siwezi kuzamia ,Amini nakuambia[emoji4].
Watanishauri nini sasa?
Ushauri wao hauwezi badili wala kufidia hasara niliyoipata.
Umejuaje ni Kali????
Oh sawa mkuu.Club 007 au smirnoff ice
SawaUmejuaje ni Kali????
We mlevi unatuchora