Siku nataka nijaribu.
Nitanunua ,nikae nyumbani,ninywe nione inavyokuwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Hapana mtumishi mwenzangu.
Mimi kama baba mtumishi I won't recommend.
Changamoto ya pombe ni kwamba kuna siku tu utapitiliza.
Unaweza kuji condition kunywa kiasi fulani, na ukaweza ku maintain
Unfortunately, siku itafika utapitiliza.
Ukipitiliza, utajikuta;-
√ Umeongea kitu unplanned
✓ Umefanya kitu unplanned
✓ Umeenda sehemu unplanned
✓ Umepoteza some valuables
✓ Umeharibu baadhi ya vitu
Na mengine mengi.
Of course, ukilewa kidogo kuna vibe fulani huwa linakuja...very amaizing [emoji23][emoji23]
________________________________
Mimi nakunywa mvinyo mwekundu tu (Mainly, Drostdy Hof)...na kiukweli, hii ina health benefits lukuki.
Nonetheless, I know its just a matter of time siku moja ntazidisha na matokeo yake yatakua sio mazuri (hata kama ni miaka mingi ijayo)
Nakusudia kuacha by the way, nijikite kwenye non alcoholics. Nadhani kuna non alcoholic wines kama champaigne.