KabisaSawa
Nitakufa kwa kukosa usingizi.As long as baba angekuepo asingependa kukuona unakunywa...
Then keep kinywaji away for him.
Last week tulikubaliana kwamba the best way to honor his time hapa duniani ni kufanya yale yaliyompendeza.
Kinywaji haikua among them, nasema uongo mtumishi mwenzangu?
Utakaa sawa tu, with time. Kuna auto-recovery Mungu ametuwekea wanadamu.
And, you won't believe it when that time comes.
Ofcourse, hutamsahau completely, hilo haliwezekani.
Ila situation itabadilika kutoka kuumia sana into adoring his memories.
Niamini mtumishi mwenzangu, I am speaking from a living experience.
I have also been there back in 2012
Stay strong, please
Ila pombe haijaribiwi hii ni kama unga drink at your own riskOh sawa mkuu.
Hi ya pili wengi wameisema.
Siwezi kuwa addicted mkuu.Ila pombe haijaribiwi hii ni kama unga drink at your own risk
Siwezi kuwa addicted mkuu.
Kwa kweli,naona wengi wanahofia kwamba naweza kushindwa kuicontrol.Mkuu watu wasikutishe. Pombe unakunywa na unaacha ukipenda. Na pia unaweza kuamua unywe kiasi gani, lini, nk.
Wenzio tulianza hivyo hivyo now tumekuwa watu wa kiraji tuSiwezi kuwa addicted mkuu.
Mimi siwezi.Wenzio tulianza hivyo hivyo now tumekuwa watu wa kiraji tu
Hapa TnT eeeh?Ikiwa weekend ndio imeanza mi nimeona ni share hii mada, maana mi nnapo kunywa pombe hasa pale nnapifikisha chupa ya 12 hua naanza kuchukua namba za simu za warembo wanaokatiza mbele ya macho yangu na nikifikisha chupa ya 18 hua nasogea kwenye viti virefu kaunta hapo sasa pombe baridi zinaanza kushuka huku zikisindikizwa na ala ya music laini nakamata pisi yoyote ambayo ipo bling bling nacheza nayo music huku nikimchombeza tuondoke wote tubadili kiwanja au tukalale mwisho mitego yote ikifeli namshawishi tukapige story kwenye gari kisha tutarudi akikubali tu kaisha.. ila kesho yake hua najuta kwanini nlikunywa kiasi kile mpaka nikafanya matukio kishujaa... share tabia yako baada ya kumoka View attachment 1874469
😀😀 inaonekana utapendeza sana, embu jaribu siku. Cc ExtrovertNataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio babaHapa TnT eeeh?
Vipi kwa mfanoMimi siwezi.
Kuna vitu natarget huko
Ukiwepo next time unaweza nicheki.Ndio baba
[emoji23][emoji23]Jaribu tu mtumishi wa bwana a.k.a kondoo wa bwana !
[emoji1787]Usimsingizie shetani please ! Our devil has many important issues to attend! Mambo ya pombe ni mtu mwenyewe aamue kuacha ama kutoacha!
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] inaonekana utapendeza sana, embu jaribu siku. Cc Extrovert
Poa ntakustuaUkiwepo next time unaweza nicheki.
Kwamba hadi leo hujajaribu??[emoji848][emoji848]Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .
Sent using Jamii Forums mobile app