Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Asante kwa ushauri [emoji120]
Tatizo ni kwamba hata nichoke vipi,usiku stress na mshtuko uko pale pale[emoji38],,
Kichwa changu sometimes hata Mimi mwenyewe sikielewi[emoji1787],wengine wote washakuwa normal ila mimi hali yangu kimawazo inazidi kuwa mbaya zaidi kadiri siku zinavyoenda..nanyong'onyea,hadi mwili unapukutika.

Anyway,tuyaache haya,tunaharibu thread ya watu[emoji4].

Sasa mtumishi hutaki nijaribu kawine ili nione kavibe ulikokasema[emoji38]
 
Reactions: Pep
Look, wengine kuwa normal except you, lisikusumbue...every single person experiences grief differently and a lot depends on your relationship with the person lost.

Your time will come, just stay positive.

_______________________________________________________

Of course, with some sort of control and discipline...kuna ka vibe fulani mubashara sana 🤣🤣

Hata hivyo, kwa situation yako ya sasa ni rahisi sana kuingia kwenye addiction.

Kwa hivyo mpaka sasa, sio tu sishauri, mtumishi mwenzangu....bali na INSIST kwamba usijaribu.
 
Mtumishi wewe unapata kavibe ila mimi unani insist kwa herufi kubwa nisijaribu [emoji23]

Kila kitu kina kiasi, nadhani naweza kucontrol..
Kitu ambacho siwezi kucontrol maishani ni machozi na stress tu[emoji1787].

Badili basi ushauri[emoji23]ili nitembee kifua mbeleeee nikajaribu[emoji6]
 
There's a better way..

Wacha niingie 'magotini' kuanzia mapema kesho

Huko ntapata jibu kama nimruhusu mama mtumishi anywe mvinyo uliotiwa chachu ama la!

Sitanyamaza mpaka tumepata majibu
 
There's a better way..

Wacha niingie 'magotini' kuanzia mapema kesho

Huko ntapata jibu kama nimruhusu mama mtumishi anywe mvinyo uliotiwa chachu ama la!

Sitanyamaza mpaka tumepata majibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kujitesa kusali??

Toa tu majibu sasahivi halafu kesho utaenda tu kufanya proof kwa maombi[emoji4].

Halafu Mtumishi mbona nitasubiri vitu vingi Sasa,maana picha tu nazisubiri hadi Leo.
 
Reactions: Pep
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kujitesa kusali??

Toa tu majibu sasahivi halafu kesho utaenda tu kufanya proof kwa maombi[emoji4].

Halafu Mtumishi mbona nitasubiri vitu vingi Sasa,maana picha tu nazisubiri hadi Leo.
Zoezi la picha limefikia hatua nzuri mtumishi mwenzangu.

Ila kwa sasa hivi wacha nilifanyie kazi hili lenye uharaka.

Wacha niendelee kutafakari neno litakaloniangoza kwenye huu mfungo nnaouanza kesho.

As I promised, sitanyamaza mpaka majibu yamedhihirika
 
Dah mtumishi una viporo vingi[emoji1751]
Fanya upunguze kimoja Leo[emoji4]
 
Reactions: Pep
Nina rafiki yangu akilewa anaanza kulia na kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki woote waliokufa.

Mwingine yeye ni kucheka, yaani anakuwa na furaha hatari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nina rafiki yangu akilewa anaanza kulia na kuwakumbuka ndugu, kamaa na marafiki woote waliokufa.

Mwingine yeye ni kucheka, yaani anakuwa na furaha hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli pombe siyo chai.


Kuna mwingine akilewa eti anaanza kuwahadithia wenzie namna alivyopambana kimaisha na mkewe,
Halafu akifikiria anavyomcheat mkewe anaanza kuumia..anachukua simu anampigia mkewe anaanza kumwambia namna anavyompenda hadi analia[emoji1787]

Mkewe akiona simu inaita anajua tayari jamaa alishawaka pombe zimekolea[emoji1787]
 
Mama mtumishi mama mtumishi

Unakubali kweli baba mtumishi a blow cover online?

Okay, twende eneo la tukio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It is a promise...ahadi ni deni.
Una deni.

Mimi najua ahadi zako ni amini na kweli[emoji4][emoji120]
Don't let me down please baba mtumishi.

Yaani hapa chagua,either picha au ubadili ushauri kuhusu pombe[emoji38]
 
Hatimaye nimepiga selfie moja hapa tayari mama mtumishi

Lakini inakuja na masharti lukuki kama misaada wa mabeberu 🤣 🤣

Promise kwamba nikiipandisha hiyo hapa basi suala la mvinyo tutaliweka pending
 
Nataka siku moja nijaribu kunywa nione kulewa kunakuwaje.
Ila nadhani siwezi kulewa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Si unasikiaga tu fulani kapiga samba soti!!.. kajaribu nawewe ushuhudie hapa utakavyofika juu ya Dari.

NB: ukinywa usisahau kuvaa suruali usije piga samba soti ukatuachia radhi sie..😂

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…