Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli pombe siyo chai.
Kuna mwingine akilewa eti anaanza kuwahadithia wenzie namna alivyopambana kimaisha na mkewe,
Halafu akifikiria anavyomcheat mkewe anaanza kuumia..anachukua simu anampigia mkewe anaanza kumwambia namna anavyompenda hadi analia[emoji1787]
Mkewe akiona simu inaita anajua tayari jamaa alishawaka pombe zimekolea[emoji1787]