Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ni kutongoza na kupiga stori za maisha yangu ya Ulaya,huwa ninatembea na ticket ya ndege ukibisha tu nakutolea
Nalog off
Hahahaha ticket ya ushahidi wenzako hua wanatembea na picha na sarafu za Europe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…