ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Lisemwalo lipo mkuu... watu wanareport vile wanafeel baada ya kunywaHizi mambo za Zanzi kukimbilia chini mnazotoa wapi, hii ni liquor kwa ajili ya digestion, sasa nashindwa elewa inaingilianaje na huko chini?