Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I always do. Bhana
I start texting excited , Leo asubui, Nimeamka na message kibao. It’s alarming nashindwa kushika simu. Message ni nyingi san hata 200 hivi. Kuna watu wa heshima sana. Wasani Kama 9 hivi wa bongo movie, ma miss Tanzania contestants Kama 5 hivi nilikuwa nawaonea aibu hawa watu, nimeluka na posh queen mmoja hivi sijui alikuwa na Nani Jana,
these are personal messages sio insta. Hawa watu nilifanya nao kazi sema dau lilikuwa kubwa sana.
Anyway, never text ukilewa!