UKILEWA USICHATI: yamenikuta

UKILEWA USICHATI: yamenikuta

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I always do. Bhana

I start texting excited , Leo asubui, Nimeamka na message kibao. It’s alarming nashindwa kushika simu. Message ni nyingi san hata 200 hivi. Kuna watu wa heshima sana. Wasani Kama 9 hivi wa bongo movie, ma miss Tanzania contestants Kama 5 hivi nilikuwa nawaonea aibu hawa watu, nimeluka na posh queen mmoja hivi sijui alikuwa na Nani Jana,
these are personal messages sio insta. Hawa watu nilifanya nao kazi sema dau lilikuwa kubwa sana.

Anyway, never text ukilewa!
 
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini . Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃 . Shot matata nikaluka home . Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali . My mistake siku nunua Maji as I always do . Bhana

I start texting excited asubui , Nimeamka na message kibao . It’s alarming nashindwa kushika simu . Message ni nyingi san hata 200 hivi . Kuna watu wa heshima sana .

Anyway : never text ukilewa
Bado umelewa mkuu.

Message gan umetext hao watu wa heshima.
 
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini . Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃 . Shot matata nikaluka home . Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali . My mistake siku nunua Maji as I always do . Bhana

I start texting excited asubui , Nimeamka na message kibao . It’s alarming nashindwa kushika simu . Message ni nyingi san hata 200 hivi . Kuna watu wa heshima sana .

Anyway : never text ukilewa
Nakazia

View: https://youtu.be/AOwm2c7gEyQ?si=ELUg2manvW5Q3mt6
 
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini . Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃 . Shot matata nikaluka home . Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali . My mistake siku nunua Maji as I always do . Bhana

I start texting excited asubui , Nimeamka na message kibao . It’s alarming nashindwa kushika simu . Message ni nyingi san hata 200 hivi . Kuna watu wa heshima sana .

Anyway : never text ukilewa
ile video ulipost kwenye group la kazini na lile la jumuiya aise ni ya moto balaa, kuna watu wana pumzi aise dah,

badala ya kunitumia mimi,

nakupigia cm nikwambie uifute hupokei cm nikawa sina namna ingine , ila kiukweli umezingua 🐒
 
Sijaelewa
Ukilewa usichat
Mfano unataka kutoa taarifa kwamba umefiwa, umefiwa tena na mtu wa karibu aisee ni ngumu sana kuandika huo ujumbe.

Au unataka useme una mavazi mengi hasa kina dada kwa kujisifia aisee ni ngumu sana kuandika!

Nasisitiza ukilewa usichat!
 
Kwenye simu nili save majina ya wife na mama mkwe kwa kuanzia na jina la mto....let say mama Joh, na Bibi Joh.
Siku wife kasafiri,nimekunywa nika search tu Joh nikimtafuta wife nikasms" Nna nyege hapa,nimekukumbuka".

Asub kucheki,nimetuma kwa mama yake. Ni mengi tu,..kwenye pombe simu naiogopa
 
images (1).jpeg
 
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I always do. Bhana

I start texting excited , Leo asubui, Nimeamka na message kibao. It’s alarming nashindwa kushika simu. Message ni nyingi san hata 200 hivi. Kuna watu wa heshima sana. Wasani Kama 9 hivi wa bongo movie, ma miss Tanzania contestants Kama 5 hivi nilikuwa nawaonea aibu hawa watu, nimeluka na posh queen mmoja hivi sijui alikuwa na Nani Jana,
these are personal messages sio insta. Hawa watu nilifanya nao kazi sema dau lilikuwa kubwa sana.

Anyway, never text ukilewa!
Sawasawa.
NB😛uff=kuvuta ganja,ciger,majani ya mpapai.
sip(s)=funda/maji na vinywaji vingine.
 
Back
Top Bottom