mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
Msichana gani atakubali kuyasugua matako yake kwenye mkeka badala ya kutafuta location Qalii ayabinue kwa mipicha picha.!Kwa sasa moja kwa moja ukitaja neno mkeka utaeleweka unazungumzia kikaratasi(receipt) baada ya kubet, lakini vijana wengi wa sasa hasa dada zetu hawajui mkeka ni nini ama ukindu ama ukili.
Wakina dada na mama zetu huko nyuma hii ndio ilikuwa kitu cha kufanya wakati wa mapumziko, ila kwa sasa wametekwa na smartphone kwenye mitandao ya kijamii, mikeka tutanunua ya dukani.
Kuna haja kubwa ya kuwafunza mabinti wa sasa, wengi hawajui huu utamaduni,unapotea polepole.