Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
nilikuwa napiga naye tu story.Huyo dada alikuambia maneno hayo mkiwa wapi, je ni chumbani baada ya kumchakata ama?
Maneno uliyoambiwa yana mchanganyiko wa ukweli wa kiafya na hofu zisizo na misingi ya kitiba.Natumai mko wazima wa afya tele.
Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
nilikuwa napiga naye tu story.
Ujinga mzigoNikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
Natumai mko wazima wa afya tele.
Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
hahahahahAkajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka
(Mwisho ku kunukuu.)
Kabla hajaondoka alioga au kaenda kuoga kwake?
Maana mpaka anakuambia hivyo lazima ulikua umekimbilia bafuni
leta buku mbili nikupe buku chap chap.Tuachane na hayo, una buku ya karibu hapo? Nahitaji kununua mkate maana chai ni yamoto sana.
hakuna geni wala sio maajab ni mazoea tu.Ndio muwe na ukaribu wa kupiga stori za mizagamuano?
asante kwa ushauri wako.Yaani wanaume wengi wafie gesti tu na wala si mahali pengine majumbani mwao au magetoni mwao??
Mbona sasa hatuoni vifo vya wanaume waliooa wakifia sana mabafuni majumbani mwao, watu wako na toilets vyumbani kabisa...
Ukiambiwa jambo uwe unachukua mida kujiuliza maswali basic...
na ni mzigo ambao hakuna mtu anayeweza kukutua.Ujinga mzigo
Nipe namba zake, mkuu au kama yuko hapo mtaa wa afya nipe location nije nimuulize...Natumai mko wazima wa afya tele.
Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
ok.Natumai mko wazima wa afya tele.
Hii kauli nimeabiwa na dada mmoja ukimaliza kufanya mapenzi pumzika hata nusu saa ndo uoge na unapoenda kuoga usianzie kujimwagia maji kichwani bali anzia miguuni.
Nikamuuliza kwanin?
Akajibu ndo maana wanaume mnafia kwenye magesti na mnawahi kufa. kisha akaondoka.
Mwenye uelewa na jambo hili anieleweshe.
ni dada hapa jirani age yake 37 sio katoro ni mwanza huku.Nipe namba zake, mkuu au kama yuko hapo mtaa wa afya nipe location nije nimuulize...