"Ukimaliza Tuu Kusajili Kampuni You're all Set" Hii ni common misconception ambayo watu wengi waliosajili Kampuni wanayo...

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Mjasiriamali, Kuna compliances 19 ambazo ni lazima uzifanye through out the year ili Kampuni yako ibaki salama.

Nilikua natafuta njia ya kuziandika zote hapa nimegundua itakua ni long boring series.

Kwahiyo nimeamua kuifanya series, kila siku nitakua naandika kuhusu compliance Moja kwanzia namba 1 mpaka zitakapo Isha zote 19.

Kwahiyo usiache Kuni follow ili usikose episode hata Moja.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili Kampuni na kufanya compliances.

Your Favorite lawyer.
 
Nahitaji leseni ya biashara. Vipi unaweza nisajilia?
 
Mkuu ungesema tu unatoza bei gani mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom