Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME
KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE
MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU
AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE
YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE IKIFIKA SAA 12
KAMA ANAKAA GONGO LA MBOTO MPE NAULI 50O TU, KAMA AKIRUDI TENA KESHO MUOE KABISA HUYO
NI WIFE MATERIAL
 
Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
 
Hivi hao wadada ambao hawatumii mkaa na au kuchambua\kula maharage wako wapi hasa? Bongo hii jamani asilimia kubwa ya raia ni hohehahe choka mbaya kabisa. Msichana wa kibongo atakayekimbia mkaa au mandondo atakuwa anaigiza tu. Hata kama wachache hawatumii wana ndugu zao kibao ni mafukara tu.
Acheni maisha ya kuigiza.
 
Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Making embe mshaamka
 
Imeandikwa binadamu hatoishi kwa kipande cha mkate.
 
Back
Top Bottom