Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada bado hujaolewa nini??Tumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Limekuchoma! Na ukitaka kujua nina mume na watoto watatu. Kaka yenu yuko very responsible. Ana provide vya kutosha haliilii kama wwManunga embe mshaamka
Nimeshajibu. Na najitahidi kufundisha watoto wangu wakiume wawili nilionao kuwa mwanaume ni kujituma kufanya zaidi na ndio maana ya Misuli ya mikono iliyopo kwenye hiyo mikono yenu.dada bado hujaolewa nini??
Usijitetee kwa kuiita adhabu wakati ni ualisia kwa jinsi mlivyopigika. Jipangeni kabla ya kukaribia mabinti za watu. Kwanza kwa dizaini hizo hutapata mtuUnampa adhabu alafu kesho arudi!!!Nakama atafahamu hiyo ndo jaribio la kutaka kuolewa atafanya ila uko mbeleni utajuta lazma alipize
ile hamsini kwa hamsini mnayolilia sasa si tupeane pesa woteNimeshajibu. Na najitahidi kufundisha watoto wangu wakiume wawili nilionao kuwa mwanaume ni kujituma kufanya zaidi na ndio maana ya Misuli ya mikono iliyopo kwenye hiyo mikono yenu.
Mmezidi kulia lia acheni upumbavu. Fanya ni zaidi ya wanawake mtoe huduma zote muhimu ikiwa ni pamoja na Majiko ya gesi n.k
Mbona hatujagawana kubeba matumbo kujifungua? Mbona uchungu bado tuna experience sisi tu? Tumegawana? Lakini ukija kwenye majukumu yenu ya asili eti oh ni kujaribu binti wa kuoa na wakati mmepigika. Ain't u' r mama' hapa inahusika lo!Tumejikuta tunafanya yenu ili kulisha watoto wetu. Huko mbele tunapoenda wanaoitwa wanaume watakuwa wa kuhesabu.ile hamsini kwa hamsini mnayolilia sasa si tupeane pesa wote
Wasiwasi wangu vijana wenyewe wa sasa mnaweza kuhimili hio test unayotaka kumfanyia huyo mwanamke??!! Msije kutembea wewe ukawa wa kwanza kuchoka na kitambi chako,unaweza kuvumilia njaa wakati wewe mwenyewe umezoa asubuhi supu,mchana ugali nyama choma, saa kumi kiti motot na bia, usiku wali maharage!Mlaze kwenye jamvi
Pitisha mchana wote bila chakula
Mpokonye simu yake asiwasiliane na mtu yoyote kwa wiki
Mlishe ugali na kachumbari kila siku
Usilipe luku mlale giza
Tembea nae kwa miguu mpk gongo la mboto
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
na nyie majukumu yenu ya asili ndo hayo ya kupikia mkaaMbona hatujagawana kubeba matumbo kujifungua? Mbona uchungu bado tuna experience sisi tu? Tumegawana? Lakini ukija kwenye majukumu yenu ya asili eti oh ni kujaribu binti wa kuoa na wakati mmepigika. Ain't u' r mama' hapa inahusika lo!Tumejikuta tunafanya yenu ili kulisha watoto wetu. Huko mbele tunapoenda wanaoitwa wanaume watakuwa wa kuhesabu.
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Wasiwasi wangu vijana wenyewe wa sasa mnaweza kuhimili hio test unayotaka kumfanyia huyo mwanamke??!! Msije kutembea wewe ukawa wa kwanza kuchoka na kitambi chako,unaweza kuvumilia njaa wakati wewe mwenyewe umezoa asubuhi supu,mchana ugali nyama choma, saa kumi kiti motot na bia, usiku wali maharage!
Nwaigwe[emoji108] [emoji106] [emoji106] kwanza nitoke kwetu tuna mijiko ya umeme kila kona na gesi eti nikajipikilishe kwa mwanaume mamkaa nakuchota maji kisimani ,ivi nyie alie wambia kwamba wake ni mahousemaid ni nani ? Low life men utawajua tuu mpaka mawazo ni lowTumewachoka siku haipiti bila kuongelewa mwanamke kwa nongwa.
Eti umpitishe kwenye mishida akiweza ndiyo mwanamke wa kuoa. Hivi nyie hamwoni hata aibu nani kakwambia mwanamke ni wakumpitisha kwenye mishida? Majiko ya gesi au umeme hamuyaoni? Mnapokuja na post za kujionyesha kuwa ninyi ni mahohehahe inamaama kuwa hamfai kuwa wanaume. Kama ww ni mwanaume halafu hauwezi ku provide wewe huna maana rudi kwa wazazi u kajipange.
Acheni kujivua nguo humu jamvini. Mmoja kaja na post eti kaombwa elfu 50 na mwanamke anakuja kulia lia humu ndani. Yaani nyie ni wa kuhurumia siku hizi.
Na huko tunapoenda uchumi utaongozwa na kina mama. Wakina mama leo wanajituma sana kwasababu wameona hiyo misuruali yenu ni ushuzi tu. Wakina mama wa tabaka la chini na kati wanaoweka matenga kichwani, wanafanya biashara , wanaokopa, waliokwenye vikundi ni wengi sana. Nyie bakini kuloweka mkaa eti kujaribu binti wa kuoa.!
Sasa ndugu zetu ndo sisi?personally situmi mkaa nafanya kazi kwa bidii ili niwe na maisha mazuri niweze ku simplify maisha yangu,eti lijitu lije alitaki kufanya kazi wala alitamani maisha mazur,livivu livivu linaka kichumba kimoja chakupanga anatumia pasi za mkaa karizika mwenyewe nilipende nijikute tuu. kwetu kijijini lakini awatumi mkaa sembuse dar.... kajambeni huko msitafute kwa bidiii kaeni mkisema wasichana wanapenda makuu who doesnt ?Hivi hao wadada ambao hawatumii mkaa na au kuchambua\kula maharage wako wapi hasa? Bongo hii jamani asilimia kubwa ya raia ni hohehahe choka mbaya kabisa. Msichana wa kibongo atakayekimbia mkaa au mandondo atakuwa anaigiza tu. Hata kama wachache hawatumii wana ndugu zao kibao ni mafukara tu.
Acheni maisha ya kuigiza.