Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Hivi hao wadada ambao hawatumii mkaa na au kuchambua\kula maharage wako wapi hasa? Bongo hii jamani asilimia kubwa ya raia ni hohehahe choka mbaya kabisa. Msichana wa kibongo atakayekimbia mkaa au mandondo atakuwa anaigiza tu. Hata kama wachache hawatumii wana ndugu zao kibao ni mafukara tu.
Acheni maisha ya kuigiza.
Kuwa na ndugu anetumia mkaa haimaanishi na wewe utaweza hayo mazingira!!
 
Huo ni ujinga wa kuwasha mkaa mbichi
Atayekuwa ameloweka ndo taira kabisa! Kwani mkaa tu wa kawaida haufai adi aloweke? Anitoe kwene gas au umeme eti anipe mkaa kisa ananipima ptuuuuuu mawazo ya kimaskini kabisa ayo
 
Jiko la mkaa??? Mbona hata watu maarufu wengi tu wanapikia?
huyo zari Bosslady na alipikia kuni sembuse wewe pangu pakavu? Hahahah acheni maisha ya kuekti
Zari ndo nani kwa mfano ? Inategemea hilo jiko unatumia wapi na idadi ya watu na matumizi,kama gesi inatosha why mkaa mjini dar kati kati ya mji jamani msitulazimishe maisha yenu.. sio coz nyie mnatumia mkaa kila mtu anatumia mkaa...nasio kweli kwamba mkaa ni mbaya kutumia lakini preference na availability pia... mfano gunia la mkaa ni 70 na kwangu natumia per month na ges ni 70 thousand na natumia per month sasa nikanunue mkaa wa nini kuwafuraisha watu kwamba nadumisha mila? Logic helps at times sio kila kitu mazoea pima and choose away that fevour you the most.
 
nani kasema, labda itakuwa ni stylo yetu ya siku hiyo je mimi nitakukimbia niende wapi?
It's so hard to see the stars through the city lights
sometimes.
I wonder if you're thinking of me, 'cause I'm sure as
hell thinkin' of you.
And I'll wait until forever ends to share just one breath
with you. And I'll wait until forever ends to share just one breath
with you,
With you, with you.
I've layed awake so many nights waiting for you,
Like that winter snow, the warmest day, you never
showed. And I'll wait until forever ends to share just one breath
with you, with you.
You are so invincible. won't you stay for the night, for
the night?
 
hapo tu kwenye haya maswaga sichomoki walah looooh!!!!!!!!!!!! nafwa mieeee
 
Zari ndo nani kwa mfano ? Inategemea hilo jiko unatumia wapi na idadi ya watu na matumizi,kama gesi inatosha why mkaa mjini dar kati kati ya mji jamani msitulazimishe maisha yenu.. sio coz nyie mnatumia mkaa kila mtu anatumia mkaa...nasio kweli kwamba mkaa ni mbaya kutumia lakini preference na availability pia... mfano gunia la mkaa ni 70 na kwangu natumia per month na ges ni 70 thousand na natumia per month sasa nikanunue mkaa wa nini kuwafuraisha watu kwamba nadumisha mila? Logic helps at times sio kila kitu mazoea pima and choose away that fevour you the most.
Unataka kusema kutumia mkaa ni umaskini na kutumia gesi ni utajiri?
Naomba ujibu hapo tu
 
Back
Top Bottom