Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Huu mchezo hauhitaji hasira,...
 
Nazani hauwaongelei wanawake wa kizazi hiki,labda cha ujima.
 
Kama ukijijua wewe sio wife material kaa pembeni
 
Kama ukijijua wewe sio wife material kaa pembeni
 
Ha ha stunter chizi wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeongea point tupu mkuu,
Wengi hawaishi maisha yao
 
Mwanamke atakaye feli kimtihani cha kijinga atakuwa boya tu huyo..!

Hapo simple kama mbunifu hapo anaokoteza kuni na kuweka jiko la kuni dakika zero msosi upo mezani.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
yan na ukitaka na afute na namba yako kabisa ukishampa jero nauli anataka kuondoka tu unamshika mkono

alafu unamwambia subiri baby umesahau kuosha vyombo
Khaaa..! Chekshia sonyo utakalotolewa
 
life is not a korean drama... wake up young girl this is africa!!
 
Utaendelea kuishi kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sirudi ng'ooooo!!!!
Basi wewe Mme utamsikilizia Kwenye speaker za radio au jiandae kufanya ibada za kuvunja minyororo ili update Mme utakapofikia miaka 60 bila mme[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…