Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Duh Msela akiwa na lifestyle hiyo basi lazima zoezi limshinde
 
Umenikumbusha wimbo wa R.KELLY- When a Woman Love
 
Sasa si ukae hukohuko kwenu?
 
well said mkuu japokuwa kuna vijitest ukivifanya basi ishara utaipata
 
Unatakiwa ujifunze kuishi kila maisha,
Alifilisika Mike Tyson Sembuse wewe?
 
mkaa uliolowana?na maharage yasiyo iva?? wew sema unamkomoa na si vingine
Tulia tuuliii, huu ni muda wa kuchambua chuya na mchele so lazima umakini uwepo
 
Mmh huyo sasa itakuwa sio demu, ni zombie
 
Mwanamke atakaye feli kimtihani cha kijinga atakuwa boya tu huyo..!

Hapo simple kama mbunifu hapo anaokoteza kuni na kuweka jiko la kuni dakika zero msosi upo mezani.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Exactly..!! Lakini ulikuwa usiwavujishie mtihani aaarrgh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…