Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Wasiwasi wangu vijana wenyewe wa sasa mnaweza kuhimili hio test unayotaka kumfanyia huyo mwanamke??!! Msije kutembea wewe ukawa wa kwanza kuchoka na kitambi chako,unaweza kuvumilia njaa wakati wewe mwenyewe umezoa asubuhi supu,mchana ugali nyama choma, saa kumi kiti motot na bia, usiku wali maharage!
Duh Msela akiwa na lifestyle hiyo basi lazima zoezi limshinde
 
Wanawake / mabinti, wana ujasiri wa hali ya juu sana wa kuigiza (japo huwa wanamaanisha, maana wanatujua vema kweli kweli), unaweza ukamfanyia mimi naita visa vyote hivyo na zaidi ya hivyo, akavumilia na ukachemka wewe.

Yote hii ni kuwa, wenzetu hawa wakipenda huwa wanapenda haswa, na ndicho hicho huwa wakiumizwa wanaumia sana na laana juu.

Tuwapenda nasi aisee, ule upendo usio na mashaka.

Ahsante!
Umenikumbusha wimbo wa R.KELLY- When a Woman Love
 
Nwaigwe[emoji108] [emoji106] [emoji106] kwanza nitoke kwetu tuna mijiko ya umeme kila kona na gesi eti nikajipikilishe kwa mwanaume mamkaa nakuchota maji kisimani ,ivi nyie alie wambia kwamba wake ni mahousemaid ni nani ? Low life men utawajua tuu mpaka mawazo ni low
Sasa si ukae hukohuko kwenu?
 
Tatizo pia linakuja yupi wa ukweli na yupi wa uwongo (kuigiza), na mwishowe ukajikuta unachagua Koroma.

Nahisi busara yake Mungu, itumike, kwa kumuomba yeye kama kweli unataka mke ama mume, maana kibinadamu macho huwa yanadanganya sana mioyo yetu.

Ahsante!
well said mkuu japokuwa kuna vijitest ukivifanya basi ishara utaipata
 
Sasa ndugu zetu ndo sisi?personally situmi mkaa nafanya kazi kwa bidii ili niwe na maisha mazuri niweze ku simplify maisha yangu,eti lijitu lije alitaki kufanya kazi wala alitamani maisha mazur,livivu livivu linaka kichumba kimoja chakupanga anatumia pasi za mkaa karizika mwenyewe nilipende nijikute tuu. kwetu kijijini lakini awatumi mkaa sembuse dar.... kajambeni huko msitafute kwa bidiii kaeni mkisema wasichana wanapenda makuu who doesnt ?
Unatakiwa ujifunze kuishi kila maisha,
Alifilisika Mike Tyson Sembuse wewe?
 
Akiwa njiani kwenda Gongo la mboto njiani pale banana anakutana na njemba linampiga visenti demu analainika kisha jamaa anampandisha daladala haoooo wanaenda kitunda kumla mrembo.Badae anampandisha daladala kutoka kitunda mpaka banana then anapanda la goms anarudi kwao,akifika goms huyoooo anashuka zake kwao ulongoni
Mmh huyo sasa itakuwa sio demu, ni zombie
 
Mwanamke atakaye feli kimtihani cha kijinga atakuwa boya tu huyo..!

Hapo simple kama mbunifu hapo anaokoteza kuni na kuweka jiko la kuni dakika zero msosi upo mezani.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Exactly..!! Lakini ulikuwa usiwavujishie mtihani aaarrgh
 
Back
Top Bottom