Hata kama umelalia mkeka huku pembeni kukiwa na bakuli la magimbi ya jana utasema?Naishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME
KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE
MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU
AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE
YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE IKIFIKA SAA 12
KAMA ANAKAA GONGO LA MBOTO MPE NAULI 50O TU, KAMA AKIRUDI TENA KESHO MUOE KABISA HUYO
NI WIFE MATERIAL
Fulia nguo likunufaishe!Povu povu povu
Wanaowa=wanaosemaKweli watu wanaowa na wewe una Mme? Kwa ulipokaji hivyo wa kuandka na Je kwa audio ni zaidi ya 72GB mtaani hawalali siku hiyo
Umeona eeh! Halafu Wanajiita mwanaume. Vichwa vya nyumba. Ni kweli kwa dizaini hii umaskini hautaisha. Badala ya kujibidisha na kuleta unafuu wa maisha bado una jiko la mkaa? Tupa kuleeeeKarne hii
Yaani umekaa, fikiri na compose hii message ? Halaf tunashangaa kwa nn sisi inji hii masikini !!
Tulia tuuliii, huu ni muda wa kuchambua chuya na mchele so lazima umakini uwepo