Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

Basi wewe Mme utamsikilizia Kwenye speaker za radio au jiandae kufanya ibada za kuvunja minyororo ili update Mme utakapofikia miaka 60 bila mme[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha ibada za kuvunja minyororo hhahahaahhaha
 
Naishi kwangu sio kwetu wala sio nyumba yakupanga,na nasukuma mkoko wa maana 2010 edition na pete ya uchumba ninayo....it not true that all men want woman who think cheap of themself and who want cheap things... na mungu kanipa kitu mule mule aman of my class ....kapyungu poyeeee am taken
Hata kama umelalia mkeka huku pembeni kukiwa na bakuli la magimbi ya jana utasema?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Lkn Fikiria kama na dingiako angemtest maza kwa ivo,,,

Na wewe Mungu anakuona!
Huenda akawa amefanyiwa mtihani zaidi ya huu,
so mkakati upo pale pale
 
Karne hii
MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME
KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE
MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU
AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE
YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE IKIFIKA SAA 12
KAMA ANAKAA GONGO LA MBOTO MPE NAULI 50O TU, KAMA AKIRUDI TENA KESHO MUOE KABISA HUYO
NI WIFE MATERIAL

Yaani umekaa, fikiri na compose hii message ? Halaf tunashangaa kwa nn sisi inji hii masikini !!
 
Karne hii


Yaani umekaa, fikiri na compose hii message ? Halaf tunashangaa kwa nn sisi inji hii masikini !!
Umeona eeh! Halafu Wanajiita mwanaume. Vichwa vya nyumba. Ni kweli kwa dizaini hii umaskini hautaisha. Badala ya kujibidisha na kuleta unafuu wa maisha bado una jiko la mkaa? Tupa kuleeee
 
Back
Top Bottom