Ukimfanyia Hivi Demu Harudi Teena..!!!

heh inamaana kizazi hiki hatutopata mwanamke hata mmoja kupitia njia hiyo?

HUPATI. Na wewe unajua sana ila unadanganya wenzako. Kwanza kumkalibisha binti sehemu isiyoeleweka huwa mnajifikiria. Wangapi wanaazima mpk magari. Kwa kuwa wanajua maisha lazima wayarahisishe ili watarajiwa wajue hawaolewi na mabwege.
Hii thread tunaipaisha tu haina lolote la maana. Am out fr here
 
500 kwenda Ngongo la mboto akiwa yuko wapi mkuu,maana naona umeandika kana kwamba wote tupo ulipo wewe
Popote tu wewe utakadiria nauli sawasawa ya daladala isizidi hata mia
 

Lets be realistic. Habari za kupeana vitest sio issue. Tena vitest vyenyewe vya kupika maharage, who does know how to pretend.

Punguzeni kuwekeza mbinu na ubunifu kwenye mapenzi. Ndio kinachoturudisha nyuma kimaendeleo... kila ubunifu ni juu ya dyudyu.
 
Nikimpata huyo niko tayar hata kutoa mahar mil. 20 ikipungua nakopa benk maaana hyo ntakua nimetumiwa direct from heaven.
Hahahaha mbona wapo wengi tu mkuu? Hahahaha sema ndoivo sijui ni invisible
 
Umeolewa? Samahani lakini
 
Kama jaribio lako ndo hilo utakosa mwanamke wa kuoa
 
Kwa sababu me ni MTU wa mazingira ntaishia kwenye kuwasha moto..hahaha ..siwezi kuchangia uharibifu wa misitu yetu..
 
Ha ha ha... alafu siku hiyo maji yawe hayapo akachote kdogo
Yaani natimua! Siku ya kwanza tu nshakua kama housegirl! Anatakiwa aandae kila kitu... Hiyo itakua kukomoana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…