Mapandeson
Member
- Dec 13, 2023
- 12
- 26
Ukimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?
Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachekesha, uaweza usipate hata hizo nguvu, mambo ya hisia magumu sana kutabiriUkimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?
Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
Watu wanachinjwa kaka nguvu wale wanazitolea wapi?? 😁 Musoma newzUnachekesha, uaweza usipate hata hizo nguvu, mambo ya hisia magumu sana kutabiri
umekaa kimzimu sana! unafaa kuja kuwa mganga!Naingiaaa nafunga mlango naanza kuvua nguo najifanya nawasogeleaaaa alafu navaa nguo nyinginee naondoka bila kusema kitu chochote yaani kama sijawaona vileeee
Najua Lazim kuna mtu atapata mshtuko kwamba marinda yake yanaenda kutatuliwa alafu mwamba walaaa navaa nguo nyingine nasepa 😂😂umekaa kimzimu sana! unafaa kuja kuwa mganga!
Waache nawe katafute mchepuko, ukiwapigia kelele unajidhalilisha kuwa wewe ndiyo hufunctionUkimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?
Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
Afu unawaambia waendelee huku unawatazamaa!!!Unawapa cold drinks washushie, waendelee na game
Kizuri unakulaje mwenyewe?
Unaondoka, ukiwatizama hawatakua huru aisee😂Afu unawaambia waendelee huku unawatazamaa!!!
Niamwambia pole kwa kazi mama bhoke alafu samahani kwa kukuchunguliaUkimfumania mke au mume / mpenzi wako chumbani kitu gani cha kwanza kukifanya wewe?
Naanza mimi nitanyanyua mtungi wa gas nawarushia 😁
yaonyesha atarogwa mtu!..🤣Nitamwambia tu asante kisha nitaondoka zangu, kwa jinsi tulivyo mwenyewe atajua nimemaanisha nini.
AiseeUnawapa cold drinks washushie, waendelee na game
Kizuri unakulaje mwenyewe?
Kweli nampenda sana ila akifikia hiyo stage itabidi aniroge yeye.yaonyesha atarogwa mtu!..🤣