Ukimfumania mwanamke Mara moja piga nyama chini

Kwenye suala la kuridhika au kutoridhika wanaume wanaongoza kwa ulafi(hawaridhiki)
Sasa kuna wanaume walivyokuwa na akili fupi kutwa kwa wamasai na sangoma kutafuta madawa, mtamaliza wanaume nyie viumbe mbaki peke yenu.
 
Vip n nyie tukiwafumania mara ngapi ndo tuwapige chini??
99% ya sisi wanaume tunasaliti kwa tamaa za kimwili tu..

Ukweli mchungu ni nyie wanawake mnasaliti kwa kumpenda kweli yule mnaechepuka naye.. Sijui kwa sasa ikoje!

Hiyo ndio sababu ukimfumania mwanamke usimsamehe wala usiendelee kuwa naye..ukifanya hivyo ni sawa na kulea kitu kitakachokuja kukudhuru!
 
Once a cheater always a cheater
 
Aah una haraka hadi unachapia
Sasa kuna wanaume walivyokuwa na akili fupi kutwa kwa wamasai na sangoma kutafuta madawa, mtamaliza wanaume nyie viumbe mbaki peke yenu.
 
Sadism is inevitable when the situation is Alarming... CC Kanali Ngemela Lubinga ha ha haa mapenzi waachie wapendanao tuu
 
Duh!!!! Wewe ni mwanaume wa kweli.
 
hujajibu swali sema mara ngapi?
 
Hao wanawake zenu malaika


Mnapaswa kusamehe kama wao wanavyowasamehe...


Njozi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…